Nchi nyingi zinachukulia kuwa makazi ya Israeli yaliyojengwa baada ya Vita vya Waarabu na Israeli vya 1967 kuwa haramu. Kuendelea kupanuka kwa makazi hayo kwa miongo kadhaa, kumekuwa kati ya maswala yenye utata kati ya Israeli, Palestina na Jumuiya ya Kimataifa https://t.co/i2LYQh3KCj
